Wedding:Harusi ya Dr.Reginald Mengi and Jacqueline Ntuyabaliwe

official Mr and Mrs Mengi .
Just Married.. Bwana na Bibi Reginald Mengi

Bibi Harusi Jacqueline Ntuyabaliwe akitembea kwa hatua za kinyonga kujongea mbele ya mashahidi na tayari kwa kusema Yes I do


Watoto mapacha wa Mzee Mengi na K-Lynn wakiwa wamebeba pambo maalum lililoandikwa maneno ya Kiingereza yanayomaanisha 'Karibu Bibi Harusi

Mimi Reginald Mengi naahidi kumpenda Jacqueline Ntuyabaliwe katika shida na raha hadi kifo kitutenganishe

Mr and Mrs Reginald Mengi wakiwa na nyuso za furaha pamoja na watu wao wa karibu

Nyuso zinaonesha furaha ilivyotawala sherehe hiyo

Bibi harusi, Jacqueline na marafiki zake wa karibu wakiwa kwenye furaha kubwa baada ya kiapo cha wanandoa


Mengi na mke wake wakiwa wamewashika mikono watoto wao mapacha wakati wakitembea kwenye moja ya fukwe za bahari ya Hindi nchini Mauritius ilikofungwa ndoa yao

Reginald Mengi akimsaidia mke wake Jacqueline kukata keki ya harusi

Comments

  1. How beautiful wedding it was!! It is my pleasure to see these photographs of this stunning couple. Well, I have always been attracted towards the beautiful DC venues so I would prefer getting married in DC!

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular Posts