MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 48 YA MAPINDUZI ZANZIBAR.
Msafara wa Rais Kikwete ukiwasili katika Uwanja wa Amaan kwa maadhimisho hayo.
Rais Kikwete akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaafu, Mh. Ramadhani Haji Fakhi wakati wa maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, wakati wa sherehe za Mapinduzi leo.
Rais Kikwete akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Mheshimiwa Alfonso E. Lenhardt.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa jukwaani wakati ukipigwa wimbo maalum wa Taifa wa Zanzibar.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein wakati wa sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar leo.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, wakati wa sherehe za Mapinduzi leo.…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo Januari 12, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa jukwaani Uwanja wa Amaan katika Sherehe hizo.Kutoka (kushoto) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri, Mama Zakhia Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, wakiwa katika sherehe hizo.
Kutoka (kulia) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri, Mama Asha Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, Jaji Mkuu, Othman Chande na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakiwa katika sherehe hizo.
Wananchi wakishuhudia mizinga 21 ikipigwa wakati wa maadhimisho hayo.
Comments
Post a Comment